Latest News

Watu kumi na tano wauwawa katika shambulio la bomu nchini Somalia.

Clement Silla

March 29th, 2019

No comments

  Polisi nchini Somalia imesema Watu kumi na tano wameuawa katika shambulio la bomu lililotegwa katika gari ndogo karibu na hoteli na migahawa miwili mjini Mogadishu nchini Somalia ambapo ...

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini TAKUKURU afikishwa mahakamani

Clement Silla

March 29th, 2019

No comments

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Kulthum Mansoor afikishwa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Machi, 2019 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Misa Takatifu ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar es Salaam.

Clement Silla

March 6th, 2019

No comments

Misa hiyo imeongozwa na Paroko Msaidizi wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph Padre Joseph Mosha. Mhe. Rais Magufuli amehudhuria misa hiyo akiwa na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli. Jumatano ya Majivu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, ambapo ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95.

Clement Silla

March 1st, 2019

No comments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es ...

Latest Events

Latest Photos