Local News

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji,  na Tathmini  TAKUKURU afikishwa mahakamani

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini TAKUKURU afikishwa mahakamani

Clement Silla

March 29th, 2019

No comments

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Kulthum Mansoor afikishwa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu.