Afrika

Watu kumi na tano wauwawa katika shambulio la bomu nchini Somalia.

Watu kumi na tano wauwawa katika shambulio la bomu nchini Somalia.

Clement Silla

March 29th, 2019

No comments

  Polisi nchini Somalia imesema Watu kumi na tano wameuawa katika shambulio la bomu lililotegwa katika gari ndogo karibu na hoteli na migahawa miwili mjini Mogadishu nchini Somalia ambapo Wanawake watano ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Idara ya […]

Kuapishwa kwa Rais Kenyatta, Viongozi mataifa zaidi ya 11 kuhudhuria sherehe hizo

Kuapishwa kwa Rais Kenyatta, Viongozi mataifa zaidi ya 11 kuhudhuria sherehe hizo

Clement Silla

November 27th, 2017

No comments

Marais 11 kutoka barani Afrika akiwemo Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ni miongoni mwa wageni mashuhuri wanaotarajiwa kushuhudia kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta kuhudumu kwa muhula wa pili na wa mwisho hapo kesho jijini Nairobi. Sherehe hizo zinatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kimataifa wa […]

Maandamano baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya

Maandamano baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya

Clement Silla

October 31st, 2017

No comments

Maandamano ya baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya, huku waandamanaji wanaoipinga serikali wakipambana na polisi kwenye mji mkuu, Nairobi na mji wa Kisumu ambako ni ngome kuu ya upinzani, baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi wa uchaguzi mpya wa urais uliofanyika Oktoba 26 kwa […]

Mapigano nchini Libya, Watu 15 wakiwemo watoto wameuawa

Mapigano nchini Libya, Watu 15 wakiwemo watoto wameuawa

Clement Silla

October 31st, 2017

No comments

Watu 15 wakiwemo watoto wameuawa Mashariki mwa Libya, katika shambulizi la anga lililotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika makabiliano na makundi ya waasi. Mji wa Derna umekuwa ukilengwa na wanajeshi wa serikali kwa madai kuwa, unawapa hifadhi makundi ya kigaidi. Hata hivyo jeshi la […]

Uteuzi wa rais Mugabe kuwa Balozi wa amani WHO, yakubali kumtengua baada ya minong’ono mingi

Uteuzi wa rais Mugabe kuwa Balozi wa amani WHO, yakubali kumtengua baada ya minong’ono mingi

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Hatimaye Zimbabwe imekubali uamuzi wa shirika la Afya duniani kumvua rais Robert Mugabe wadhifa wa balozi mwema wa shirika hilo ambapo taarifa hiyo imetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Zimbabwe Walrter Mzembi Akitangaza hatua hiyo ya shirika la WHO mkuu wa shirika hilo […]

Kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Mwenyekiti wa wa Tume kukutana na Rais Uhuru Kenyatta

Kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Mwenyekiti wa wa Tume kukutana na Rais Uhuru Kenyatta

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Ikiwa ni siku tatu kabla ya kufanyika uchaguzi nchini Kenya Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kemua Wafula Chebukati anatazamia kukutana na kwa mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta. Lengo la mwenyekiti huyo kumkaribisha Rais Uhuru Kenyatta ni kutanga kuzungumzia uchaguzi na mgogoro wa kisiasa unaoendelea […]

Maandamano nchini Togo, Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi

Maandamano nchini Togo, Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa makabiliano kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama nchini Togo. Vifo hivyo vinatokea, huku maandamano yakiendelea kupinga mabadiliko ya katiba kumruhusu Rais Faure Gnassingbe kubakia madarakani hadi mwaka 2030. Kiongozi huyo amekuwa madarakani tangu mwaka 2003 na […]

Kuelekea uchaguzi wa Urais wa marudio Kenya, Kiongozi wa NASA atangaza maandamano Octoba 26

Kuelekea uchaguzi wa Urais wa marudio Kenya, Kiongozi wa NASA atangaza maandamano Octoba 26

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga, amesema kuwa upinzani utafanya maandamano ya nchi nzima Oktoba 26 siku ya upigaji kura za uchaguzi wa urais wa marudio. Akihutubia wafuasi wake mjini Nairobi jana Jumatano, Bw. Odinga alisema msimamo wa NASA utaendelea licha […]

Shambulizi la bomu la kutegwa Somalia, Mamlaka za Usalama zaendelea kutafuta miili ya waliofunikwa na vifusi

Shambulizi la bomu la kutegwa Somalia, Mamlaka za Usalama zaendelea kutafuta miili ya waliofunikwa na vifusi

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Mamlaka za usalama nchini Somalia zimesema kwamba idadi ya watu waliouawa baada ya bomu kulipuka kwenye lori katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu mwishoni mwa wiki huenda ikawa zaidi ya tatu. Shambulizi hilo linaelezewa kuwa baya zaidi kuwahi kutokea kwenye eneo lote la Afrika […]

Mchakato wa kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Muungano wa NASA wasitisha maandaano kwa siku ya leo

Mchakato wa kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Muungano wa NASA wasitisha maandaano kwa siku ya leo

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Muungano wa Upinzani nchini Kenya National Super Alliance (NASA) umesitisha maandamano ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika nchini humo leo kushinikiza mabadiliko katika tume ya uchaguzi licha ya kwamba jana yalifanyika katika miji kadhaa ikiwemo Mombasa. Katika taarifa yake, muungano huo unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani […]