Afrika

Jeshi la Libya lakanusha kuwa na uhusiano na serikali

Jeshi la Libya lakanusha kuwa na uhusiano na serikali

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Msemaji wa jeshi la taifa la Libya mashariki mwa nchi Ahmad Mismari amesema jeshi hilo halina uhusiano na serikali ya maafikiano ya kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, na pia halijatoa amri yoyote kwa wanachama wake. Msemaji huyo amesema, kamanda wa Baraza la uongozi […]

Rais wa Sudan asisitiza tena kupambana na ugaidi

Rais wa Sudan asisitiza tena kupambana na ugaidi

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesisitiza tena kuwa nchi hiyo imefanya juhudi pamoja na wenzi wa kimataifa kupambana na ugaidi wa mitindo mbalimbali na uhalifu wa kuvuka mipaka. Rais al-Bashir alisema hayo alipohutubia mkutano wa bunge la Sudan. Amesema, Sudan itafanya juhudi pamoja na wenzi […]

Watu zaidi ya 90 wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini

Watu zaidi ya 90 wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini

Clement Silla

October 4th, 2017

No comments

Jeshi la Sudan Kusini limesema limeua waasi 91 na kujeruhi wengine kadhaa baada ya mapigano mapya kutokea katika eneo la Waat lililoko mkoa wa Bieh nchini humo. Msemaji wa jeshi hilo Lul Ruai Koang amesema, mapigano hayo yalitokea jumapili, na kuna uwezekano wa vifo na […]

Machafuko Cameroon, Shirika la Amnesty international lataka kufanyika uchunguzi

Machafuko Cameroon, Shirika la Amnesty international lataka kufanyika uchunguzi

Clement Silla

October 3rd, 2017

No comments

Shirika la Haki za Binadamu la Amnesty International limerudia mwito wake wa kutaka uchunguzi ufanywe kuhusu vifo vya waandamanaji wanaounga mkono kujitenga kwa eneo linalozungumza Kiingereza nchini Cameroon. Habari zinasema kwamba watu wasiopungua 17 walipoteza maisha katika makabiliano baina ya polisi na waandamanaji hao. Ghasia […]

Baada ya matokeo ya Urais kufutwa Kenya, Wagombea wote wa urais wakutana na tume ya uchaguzi

Baada ya matokeo ya Urais kufutwa Kenya, Wagombea wote wa urais wakutana na tume ya uchaguzi

Clement Silla

October 3rd, 2017

No comments

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amefika kwenye mkutano ulioitishwa na tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC katika ukumbi wa Bomas of Kenya mjini Nairobi. Rais Uhuru Kenyatta ambaye naye alialikwa kwenye mkutano huo na IEBC alitarajiwa kufika katika mkutano huo ambao […]

Watoto Milioni tatu Nigeria Wakosa masomo sababu ya Boko Haram

Watoto Milioni tatu Nigeria Wakosa masomo sababu ya Boko Haram

Clement Silla

September 30th, 2017

No comments

Machafuko yanayoendelezwa na wanamgambo wa Boko Haram Kaskazini mwa Nigeria yamelazimisha asilimia 57 za shule katika jimbo la Borno kufungwa, hali ambayo imewaacha wanafunzi milioni tatu bila masomo wakati ambapo shule zinafunguliwa. Hayo yameelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia watoto UNICEF. Baada ya […]

Mvutano wa kisiasa Kenya, Kiongozi wa upinzani atangaza kusitisha maandamano

Mvutano wa kisiasa Kenya, Kiongozi wa upinzani atangaza kusitisha maandamano

Clement Silla

September 29th, 2017

No comments

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kusitisha maandamano kushinikiza mageuzi ndani ya tume ya uchaguzi na kukizuwia chama tawala kuondoa kinga dhidi ya udanganyifu kuelekea uchaguzi mpya wa rais. Hata hivyo Odinga ameitisha maandamano ya nchi nzima wiki ijayo, baada ya mazungumzo kuvunjika […]

Shambulizi la bomu Somalia, Wanamgambo wa Al-shabaab wadai kuhusika

Shambulizi la bomu Somalia, Wanamgambo wa Al-shabaab wadai kuhusika

Clement Silla

September 29th, 2017

No comments

Watu watano wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mliipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari jana jioni katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu. Mripuko huo ulitokea kwenye gari lililokuwa limeegeshwa nje ya mgahawa katika wilaya ya Hamarweyne mjini humo, ambapo taarifa zinasema […]

Siasa za Rwanda, Kiongozi wa upinzani akamatwa tena

Siasa za Rwanda, Kiongozi wa upinzani akamatwa tena

Clement Silla

September 26th, 2017

No comments

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara, mama yake na dada yake, wamekamatwa tena katika mji mkuu Kigali nchini humo. Polisi wanasema kuwa mbali na makosa ya ulaghai na kukwepa kulipa kodi, watu hao ambao ni wa familia moja wamekuwa kitisho kwa usalama wa nchi […]

Mvutano wa uchaguzi wa Urais Kenya, NASA kufanya maandamano kesho kuishinika IEBC

Mvutano wa uchaguzi wa Urais Kenya, NASA kufanya maandamano kesho kuishinika IEBC

Clement Silla

September 26th, 2017

No comments

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, umepanga kuongoza maandamano ya wafuasi wake kwenda kwenye viwanja vya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi jijini Nairobi kesho Septemba 25 kushinikiza mabadiliko ya watendaji ndani ya Tume hiyo kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi mpya wa urais ulipangwa kufanyika Octoba […]