Afrika

Siasa za Kenya, Uchaguzi wa marudio wasogezwa mbele.

Siasa za Kenya, Uchaguzi wa marudio wasogezwa mbele.

Clement Silla

September 22nd, 2017

No comments

Uchaguzi mpya nchini Kenya umesogezwa mbele hadi Oktoba 26, ambapo tume ya uchaguzi nchni humo imesema inahitaji muda zaidi kuweza kumaliza matatizo ambayo yamesababisha uchaguzi wa kwanza ufutwe. Umauzi huo unakuja siku moja tu baada ya mahakama kuu kutoa ufafanuzi wa kina ukiishambulia tume ya […]

Muswada wa ukomo wa Urais Uganda, Polisi wafyatua mabomu kuwatawanya waandamanaji

Muswada wa ukomo wa Urais Uganda, Polisi wafyatua mabomu kuwatawanya waandamanaji

Clement Silla

September 22nd, 2017

No comments

Polisi nchini Uganda wamefyatua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji na kuwakamata watu kadhaa ambao wanapinga mipango ya kuwasilishwa kwa mswada ambao unaweza kumruhusu kiongozi wa muda mrefu kurefusha muda wake madarakani. Katika kikao kilichokuwa na ghasia, ambapo wabunge wengi walivutana na kutishia kupigana, spika […]

Mahakama ya juu yafuta matokeo ya uchaguzi wa urais Kenya

Mahakama ya juu yafuta matokeo ya uchaguzi wa urais Kenya

Clement Silla

September 1st, 2017

No comments

Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mapema mwezi uliopita katika uamuzi kuhusu kesi iliyowasilishwa na muungano wa upinzani National Super Alliance (NASA). Uamuzi huo ulitangazwa na Jaji Mkuu David Maraga jijini Nairobi leo asubuhi akisema kati ya Majaji […]

Burundi yatuma walinzi 1,819 wa amani Somalia

Burundi yatuma walinzi 1,819 wa amani Somalia

Clement Silla

August 24th, 2017

No comments

Msemaji wa jeshi la Burundi Kanali Gaspard Baratuza amesema, jumla ya askari 1,819 wa kulinda amani wa Burundi, wameanza kuchukua nafasi ya batalioni 38 na 39 za nchi hiyo kwenye vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM. Kanali Baratuza amesema kazi ya askari wa […]

Kenya na Tanzania kufanya mazungumzo kuondoa vikwazo vya kibiashara (Picha Maktaba)

Kenya na Tanzania kufanya mazungumzo kuondoa vikwazo vya kibiashara (Picha Maktaba)

Clement Silla

August 24th, 2017

No comments

Kenya na Tanzania zinapanga kufanya mazungumzo mwezi ujao ili kuondoa vizuizi vya kibiashara. Katibu mkuu wa wizara ya viwanda, biashara na ushirikiano ya Kenya Bw Chris Kiptoo amesema mazungumzo hayo yatakayofanyika nchini Tanzania ni mchakato unaofuata mazungumzo yaliyofanyika awali, ya kutatua hali ya kukwamakwenye biashara […]

Shambulizi la bomu Nigeria, 12 wauawa, wengine zaidi ya 20 wajeruhiwa

Shambulizi la bomu Nigeria, 12 wauawa, wengine zaidi ya 20 wajeruhiwa

Clement Silla

August 7th, 2017

No comments

Watu kumi na wawili wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya mtu aliyekuwa na silaha kushambulia kanisa la Katoliki katika mji wa kusini-mashariki mwa Nigeria mapema leo. Shambulizi hilo limetokea majira ya saa kumi na mbili asubuhi katika kanisa la Mtakatifu Philip liliopo Ozubulu, karibu […]

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Kenya, Wakenya kupiga kura kesho, hali ya utulivu yatawala

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Kenya, Wakenya kupiga kura kesho, hali ya utulivu yatawala

Clement Silla

August 7th, 2017

No comments

Kuelekea zoezi la kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa demokrasia ya mfumo wa vyama vingi nchini Kenya hapo kesho,hali ya utulivu imeendelea kushuhudiwa nchini humo baada ya kukamilika kwa kampeni zilizokuwa na msisimko kati ya wagombea wa urais. Rais Uhuru Kenyatta na makamu wake William […]

Ofisa wa tume ya uchaguzi ya Kenya aliteswa na kunyongwa

Ofisa wa tume ya uchaguzi ya Kenya aliteswa na kunyongwa

Clement Silla

August 4th, 2017

No comments

Uchunguzi uliofanywa kwenye mwili wa aliyekuwa mkuu wa idara ya Tehama ya tume ya uchaguzi ya Kenya Bw Chris Msando, umeonyesha kuwa aliteswa na kuuawa. Kwa mujibu wa mwanapatholojia mkuu wa serikali Dk Johansen Oduor na daktari wa familia Dk Bessie Byakika, mwili wa Bw […]

UN kudhibiti na kupunguza vifo vya surua kwa watoto milioni 4.2 nchini Somalia

UN kudhibiti na kupunguza vifo vya surua kwa watoto milioni 4.2 nchini Somalia

Clement Silla

July 27th, 2017

No comments

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema yatazindua kampeni ya kupambana na ugonjwa wa surua mwezi Novemba, yakilenga watoto milioni 4.2 wenye umri kati ya miezi sita hadi miaka 10 nchini Somalia. Kampeni hiyo itakayoendeshwa na Shirika la Afya Duniani WHO likishirikiana na Shirika la kuwahudumia […]

Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

Clement Silla

July 27th, 2017

No comments

Ethiopia itafungua kambi mpya kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini ili kukabiliana na idadi inayoongezeka ya watu wanaokimbia vita. Kambi hiyo mpya itakayowekwa kwenye jimbo la Benishangul Gumuz, inatarajiwa kupunguza mzigo wa kambi ya Shaerkole ambayo ni kambi kuu ya sehemu hiyo. Benishangul Gunuz […]