Afrika

Zaidi ya maofisa 5 wa usalama wa Somalia wauawa kwenye mapambano ya ndani

Zaidi ya maofisa 5 wa usalama wa Somalia wauawa kwenye mapambano ya ndani

Clement Silla

July 27th, 2017

No comments

Zaidi ya maofisa 5 akiwemo ofisa mwandamizi wameuawa na wengine wawili wamejeruhiwa kwenye mapambano ya ndani kati ya maofisa wa usalama huko Mogadishu. Mapambano hayo yametokea kati ya jeshi la Somalia na Shirika la ujasusi na usalama la taifa NISA kwenye kituo cha ukaguzi cha […]

Hali ya Kiafya ya rais Buhari, Huenda akarejea nyumbani wakati wowote

Hali ya Kiafya ya rais Buhari, Huenda akarejea nyumbani wakati wowote

Clement Silla

July 25th, 2017

No comments

Gavana wa jimbo la Nigeria Rocha Okorocha amesema kuwa rais Muhammadu Buhari anatarajia kurudi nyumbani kutoka Uingereza katika kipindi cha wiki mbili zijazo. Gavana Rocha Okorocha alikuwa miongoni mwa ujumbe uliokutana na rais Buhari siku ya Jumapili jijini London anakopata matibabu kwa muda wa zaidi […]

Riport ya watu mia moja Nigeria, Jeshi lakiri kufanya makosa.

Riport ya watu mia moja Nigeria, Jeshi lakiri kufanya makosa.

Clement Silla

July 23rd, 2017

No comments

Serikali nchini Nigeria imesema kwamba bomu lililorushwa na ndege ya kijeshi ya nchi hiyo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo lilirushwa kimakosa na kusababisha zaidi ya watu watu mia moja kupoteza maisha. Kwa mujibu ripoti iliyotolewa na jeshi la Nigeria, bomu hilo lilirushwa kimakosa mwezi January […]

Jeshi la Misri lataka kuimarisha ushirikiano na jeshi la Marekani katika mapambano dhidi ya ugaidi

Jeshi la Misri lataka kuimarisha ushirikiano na jeshi la Marekani katika mapambano dhidi ya ugaidi

Clement Silla

July 18th, 2017

No comments

Mnadhimu mkuu wa jeshi la Misri Luteni Jenerali Mahmoud Hegazy amesisitiza kuwa Misri inatakiwa kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Marekani, hasa katika mapambano dhidi ya ugadi, ili kukabiliana na changamoto ya usalama ya kikanda. Luteni Jenerali Hegazy amesema hayo alipokutana na Ofisa mwandamizi wa […]

Kiongozi wa Kenya aahidi kutokomeza kundi la Al-Shabaab mjini Lamu

Kiongozi wa Kenya aahidi kutokomeza kundi la Al-Shabaab mjini Lamu

Clement Silla

July 18th, 2017

No comments

Rais Uhuru Kenyatta amesema Kenya itawaangamiza wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab ambao wamekuwa wakifanya mauaji ya wanavijiji katika kaunti ya Lamu. Akizungumza baada ya kundi hilo kuwaua takribani watu watano na kumjeruhi ofisa mwandamizi wa serikali, Rais Kenyatta ametangaza vita dhidi ya magaidi hao. Kwa […]

Watu wenye silaha wamelivamia kundi la waandishi wa habari Congo

Watu wenye silaha wamelivamia kundi la waandishi wa habari Congo

Clement Silla

July 16th, 2017

No comments

Watu wenye silaha wamelivamia kundi la waandishi wa habari na walinzi wa wanyama pori katika mbuga moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Afisa mmoja wa eneo hilo anasema mwandishi habari mmoja wa Marekani na walinzi watatu walipotea, lakini waandishi wawili wa Uholanzi walipatikana […]

Rais wa Somalia atoa mwito kwa bunge kuharakisha kazi ya kupitia katiba

Rais wa Somalia atoa mwito kwa bunge kuharakisha kazi ya kupitia katiba

Clement Silla

July 14th, 2017

No comments

Rais Mohamed Abdullahi Farmajo wa Somalia amelitaka bunge la nchi hiyo kuharakisha mchakato wa mapitio ya katiba ya mpito inayotumiwa sasa na Somalia. Akihutubia mabaraza mawili ya bunge la nchi hiyo, Rais Farmajo amewataka wabunge kuwa mstari wa mbele kuhakikisha serikali inatoa huduma zenye lengo […]

Kenya kununua mashine ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania

Kenya kununua mashine ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania

Clement Silla

July 14th, 2017

No comments

Kenya imetangaza akwamba itanunua mashine mpya ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania kuingia nchini humo. Vifaa hivyo vitawekwa kwenye maeneo ya mipakani ili kukagua gesi ya kupikia inayosafirishwa kwa barabara. Awali Tanzania imelalamikia Kenya kwamba gesi yake imekuwa ikizuiwa kwenye maenei ya mipaka na […]

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Kenya, Wananchi wapatwa na mshtuko kufuatia kiongozi mkuu wa upinzani Raila Odinga kulazwa ghafla

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Kenya, Wananchi wapatwa na mshtuko kufuatia kiongozi mkuu wa upinzani Raila Odinga kulazwa ghafla

Clement Silla

July 10th, 2017

No comments

Wananchi wakenya jana wamepatwa na mshtuko mkubwa kufuatia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya, Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga kulazwa ghafla katika hospitali moja ya Mombasa hapo jana, baada ya kile kinachodaiwa kwamba alikula chakula ambacho si kizuri. Msemaji wa mwanasiasa huyo, Salim Lone, […]

Hali ya Kisiasa Congo, Mwenyekiti wa Tume asema uchaguzi mkuu hauwezi kufanyika

Hali ya Kisiasa Congo, Mwenyekiti wa Tume asema uchaguzi mkuu hauwezi kufanyika

Clement Silla

July 9th, 2017

No comments

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Corneille Nangaa amesema Uchaguzi Mkuu nchini humo hauwezi kufanyika mwezi Desemba au kabla ya mwezi huo mwaka huu kama ilivyopangwa. Akizungumza jijini Paris, Nangaa amesema sababu kubwa inayofanya Uchaguzi huo kutofanyika kama ilivyopangwa ni […]