Afrika

Shambulizi la bomu Kenya, Watu wanane wameuawa.

Shambulizi la bomu Kenya, Watu wanane wameuawa.

Clement Silla

June 28th, 2017

No comments

Jumla wa watu wanane wameuawa miongoni mwao wakiwemo polisi baada ya bomu la kutegwa kando ya barabara kulipuka kaunti ya Lamu kusini mwa Pwani ya Kenya. Tukio limefikisha jumla ya watu 46 waliopoteza maisha kutokana na mfululizo wa milipuko ya mabomu ya kutegwa kando ya […]

Waliomuingiza mtu mweusi kwenye jeneza, Mahakamani Afrika Kusini

Waliomuingiza mtu mweusi kwenye jeneza, Mahakamani Afrika Kusini

Clement Silla

June 26th, 2017

No comments

Hatimaye wakulima wawili weupe wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini, kwa tuhuma za kumsukuma mtu mmoja mweusi na kumuingiza ndani ya jeneza, huku wakitishia kummwagia mafuta ya petroli ili kumteketeza kwa moto akiwa hai. Washtakiwa hao Willem Oosthuizen na Theo Jackson, walikamatwa Novemba mwaka jana, […]

JOSEPH KABILA Tutaendelea kuzungumzia hali ya kisiasa kufikia muafaka

JOSEPH KABILA Tutaendelea kuzungumzia hali ya kisiasa kufikia muafaka

Clement Silla

June 26th, 2017

No comments

Afrika Kusini imeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC pamoja na wanasiasa wa upinzani kuendeleza mazungumzo yenye lengo la kupata muafaka wa kisiasa katika taifa hilo. Rais Jacob Zuma ametoa rai hiyo baada ya kukutana na Rais Joseph Kabila na kuelezea matumaini ya […]

Maamuzi ya rais wa Misri, Atoa visiwa viwili kwa Saudia Arabia

Maamuzi ya rais wa Misri, Atoa visiwa viwili kwa Saudia Arabia

Clement Silla

June 25th, 2017

No comments

Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi, ameidhinisha mkataba ya umiliki wa visiwa viwili vilivyoko katika maeneo ya bahari ya Sham, kwa Saudi Arabia. Wakili wa serikali Rafiq Sharif, amesema kuwa amri hiyo ya Rais Sisi, imekuwa sheria na kwa sasa visiwa hivyo vitakuwa ni mali […]

Usalama DRC, UN kutuma wachunguzi Kasai

Usalama DRC, UN kutuma wachunguzi Kasai

Clement Silla

June 25th, 2017

No comments

Mshauri maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameisisitiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupunguza uwepo wa vikosi vyake vya kijeshi katika mkoa wa Kasai ulioathirika vibaya na vurugu huku ghasia zikiwa zinaongezeka katika eneo hilo miezi kadhaa iliyopita. Baraza la Umoja […]

Watu 100 wauawa katika mapigano mapya Afrika ya kati

Watu 100 wauawa katika mapigano mapya Afrika ya kati

Clement Silla

June 23rd, 2017

No comments

Mapigano mapya yaliyoibuka nchini jamhuri ya Afrika ya Kati yamesababisha vifo vya watu karibu 100 na wengine wengi kujeruhiwa. Jumanne asubuhi kundi la Anti-Balaka limefanya shambulizi dhidi ya kundi la Seleka kwenye eneo la Baria na kupambana kwa muda wa saa kadhaa, kabla ya kikosi […]

Makabiliano Kaskazini mwa Congo, Wanajeshi kadhaa na wanamgambo wauawa

Makabiliano Kaskazini mwa Congo, Wanajeshi kadhaa na wanamgambo wauawa

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

Mwanajeshi mmoja na wanamgambo 12 wameuawa katika makabiliano yaliyotokea jana katika jimbo jimbo Kivu ya kaskazini nchini DRC. Msemaji wa jeshi la DRC Luteni Jules Tshikudi amethibitisha wapiganaji 12 wa Maiamai na afisa wa jeshi la DRC kuuawa katika makabiliano ya jana katika kuwania eneo […]