International News

Ziara ya Rais Trump Barani Asia, Mazungumzo juu ya vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini yatawala

Ziara ya Rais Trump Barani Asia, Mazungumzo juu ya vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini yatawala

Clement Silla

November 9th, 2017

No comments

Marekani na China zimeahidi kushirikiana kwa karibu katika mzozo wa Korea Kaskazini, biashara, dawa za kulevya na utulivu wa kimataifa. Katika mazungumzo yao ya leo walipokutana mjini Beijing, Rais Xi Jinping wa China amemwambia mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kwamba China inaamini ushirikiano kati ya […]

Hali ya Dharura yatangazwa Yemeni, Baraza la Usalama latahadharisha kutokea baa la njaa

Hali ya Dharura yatangazwa Yemeni, Baraza la Usalama latahadharisha kutokea baa la njaa

Clement Silla

November 9th, 2017

No comments

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeutaka muungano wa jeshi la nchi za Kiarabu linaloongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen kuondoa vizuizi katika maeneo muhimu ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kupelekwa tena nchini humo. Mkuu wa shirika la misaada la Umoja wa Mataifa Mark […]

Mgogoro wa Catalonia, Muungano wa vyama vya wfanyakazi washinikiza maandamano

Mgogoro wa Catalonia, Muungano wa vyama vya wfanyakazi washinikiza maandamano

Clement Silla

November 8th, 2017

No comments

Muungano wa vyama vya wafanyakazi katika eneo la Catalonia umewatolea wito wakazi wa eneo hilo kumiminika mitaani leo huku mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa eneo hilo ukitarajiwa kufanyika mjini Barcelona. Hayo yanajiri wakati ambapo mzozo wa kisiasa unaendelea kushuhudiwa nchini Uhispania na kuvuruga kabisa […]

Matumizi ya Silaha za Nyuklia, Rais Trump aionya Korea kaskazini asema wala isilijaribu taifa hilo

Matumizi ya Silaha za Nyuklia, Rais Trump aionya Korea kaskazini asema wala isilijaribu taifa hilo

Clement Silla

November 8th, 2017

No comments

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un kauli ambayo ameitoa katika hotuba ndani ya bunge la Korea Kusini. Trump amesema kamwe Korea kaskazini isilidharau taifa la Maekani wala kulijaribu huku akimuonya kiongozi huo wa Korea kaskazini […]

Siasa za Marekani na Njama za Rushwa, Mwenyekiti wa kampeni za Donald Trump matatani

Siasa za Marekani na Njama za Rushwa, Mwenyekiti wa kampeni za Donald Trump matatani

Clement Silla

October 31st, 2017

No comments

Mjumbe wa tume maalum ya uchunguzi nchini Marekani, Robert Mueller na timu yake, wametangaza mashtaka ya kwanza dhidi ya Paul Manafort, aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni ya Rais wa Marekani, Donald Trump, mshirika wa kibiashara wa Manafort, Rick Gates na aliyekuwa mshauri wa kampeni, George Papadopoulos. […]

Chama tawala cha China, Xi Jinping ashinda muhula Mwingine

Chama tawala cha China, Xi Jinping ashinda muhula Mwingine

Clement Silla

October 25th, 2017

No comments

Rais wa China Xi Jinping ametangaza safu mpya ya uongozi wa kamati kuu ya chama Tawala cha kikomunisti wakati akianza muhula wa mpya wa miaka mitano, akilenga kuimarisha ustawi na kupanua ushawishi wa taifa hilo kimataifa . Kama ilivyotarajiwa amepewa muhula mwingine kufuatia mkutano wa […]

Majeshi ya Iraq yaanza kuikomboa Raqqa

Majeshi ya Iraq yaanza kuikomboa Raqqa

Clement Silla

October 25th, 2017

No comments

Majeshi ya Iraq yanajitayarisha kuanzisha mashambulizi kukomboa eneo la mwisho la ardhi ya Iraq linalokaliwa na kundi linalojiita dola la Kiislam IS. Dola la Kiislam limekuwa likirudi nyuma kutokana na mashambulizi makali toka makundi yanayoungwa mkono na Marekani na mashambulizi toka Jeshi la Syria. Ngome […]

Azma ya jimbo la Catalonia kujitenga, Waziri Mkuu wa Uhispania atangaza kuchukua hatua madhubuti zaidi

Azma ya jimbo la Catalonia kujitenga, Waziri Mkuu wa Uhispania atangaza kuchukua hatua madhubuti zaidi

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy ametangaza hatua anazokusudia kuzichukua ili kulisambaratisha vuguvugu la wanadai kujitenga kwa jimbo tajiri la Catalonia. Bwana Rajoy ametoa wito kwa bunge la Uhispania kutumia ibara ya katiba ya Uhispania ambayo haijawahi kutumiwa inayoiruhusu serikali kuu kuingilia kwa muda usimamizi […]

Matokeo ya awali nchini Japan, Waziri Mkuu Shinzo Abe afanikiwa kutetea nafasi yake

Matokeo ya awali nchini Japan, Waziri Mkuu Shinzo Abe afanikiwa kutetea nafasi yake

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi ulioitishwa kabla ya wakati wake ambao unampa mamlaka yanayoimarisha msimamo wake ambao tayari ni wa kivita dhidi ya korea kaskazini pamoja na kuuimarisha uchumi wa nchi hiyo ambayo ni wa tatu kwa ukubwa duniani. […]

Mgogoro wa Mynmar, Wabunge wa marekani wataka kurejeshwa vikwazo vya nchi hiyo

Mgogoro wa Mynmar, Wabunge wa marekani wataka kurejeshwa vikwazo vya nchi hiyo

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Wabunge kadhaa wa Mareani wameutaka utawala wa Rais Donald Trump kurejesha vikwazo vya usafiri dhidi ya viongizi wa kijeshi wa Mynmar kuhusiana na vile wanavyowatendea waislam wa Rohingya nchini Mynamar. Mynamar imekana madai ya safisha safisha ya kikabila ya mauaji holela dhidi ya kundi hilo […]