International News

Kujitenga kwa Catalonia, Kiongozi wa jimbo hilo aapa kutangaza uhuru mapema

Kujitenga kwa Catalonia, Kiongozi wa jimbo hilo aapa kutangaza uhuru mapema

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Kiongozi wa jimbo la Catalonia ameapa kwamba atatangaza uhuru, endapo serikali ya Uhispania italazimisha utawala wa moja kwa moja kwenye jimbo hilo. Hata hivyo Serikali Kuu mjini Madrid imemtaka Carles Puigdemont kuachana na mipango ya kujitenga aliyoitangaza wiki iliyopita Mzozo wa kisiasa umezidi kupamba moto […]

Libya yarejesha wakimbizi haramu zaidi ya elfu 7

Libya yarejesha wakimbizi haramu zaidi ya elfu 7

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Ofisi ya kupambana na uhamiaji haramu ya mji wa Sabratha ulioko magharibi mwa Libya imesema, hivi karibuni serikali ya mji huo imewarejesha wakimbizi haramu 7,000 hivi. Ofisi hiyo imetoa taarifa ikisema, imeshirikiana na kikosi cha usalama cha mji wa Sabratha kukagua vituo vya kuwapokea wakimbizi […]

Kimbunga Nate Chasababisha vifo kadhaa na uharibifu mkubwa

Kimbunga Nate Chasababisha vifo kadhaa na uharibifu mkubwa

Clement Silla

October 6th, 2017

No comments

Kimbunga Nate kimewaua watu zaidi ya 20 nchini Costa Rica, Nicaragua na Honduras huku kikielekea kaskazini upande wa Marekani. Hali ya dharura imetangazwa katika mataifa kadha ya Amerika ya Kati ambapo watu zaidi ya 20 bado hawajulikani walipo. Kimbunga hicho kimesababisha mvua kubwa, maporomoko ya […]

Maofisa usalama wa Russia wasema kundi la IS linapanga kujenga mtandao mpya wa ugaidi duniani

Maofisa usalama wa Russia wasema kundi la IS linapanga kujenga mtandao mpya wa ugaidi duniani

Clement Silla

October 6th, 2017

No comments

Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama ya Russia FSB Bw. Alexander Bortnikov amesema, kundi la kigaidi la Islamic State linapanga kujenga mtandao mpya wa ugaidi duniani, baada ya kushindwa nchini Syria na Iraq. Akiongea kwenye mkutano wa 16 wa viongozi wa idara za intelijinsia unaofanyika […]

Jeshi la Syria latenganisha maeneo yanayoshikiliwa na kundi la IS kati ya mikoa ya Hama na Homs

Jeshi la Syria latenganisha maeneo yanayoshikiliwa na kundi la IS kati ya mikoa ya Hama na Homs

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Jeshi la Syria limefanikiwa kupita katikati ya eneo linalodhibitiwa na kundi la IS lililo katikati ya mikoa ya Hama na Homs nchini Syria. Shirika la uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria lenye makao yake makuu mjini London limesema, maendeleo hayo yamepatikana baada ya saa […]

Kujitenga kwa jimbo la Catalonia, Mgomo mkubwa waitishwa na vyama vya wafanyakazi

Kujitenga kwa jimbo la Catalonia, Mgomo mkubwa waitishwa na vyama vya wafanyakazi

Clement Silla

October 3rd, 2017

No comments

Shughuli nyingi zinatazamiwa kukwama katika eneo la Catalonia kufuatia mgomo mkubwa ulioitishwa na vyama vya wafanyakazi kulalamikia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ulioshuhudiwa siku ya Jumapili wakati wa kura ya maoni ya kujitawala. Wafanyakazi wameapa kutoripoti leo kazini na baadhi ya maduka na sehrmu […]

Polisi nchii Marekani wanaendelea kufanya uchunguzi  kina kujua sababu ya ufyatuaji mkubwa wa risasi

Polisi nchii Marekani wanaendelea kufanya uchunguzi kina kujua sababu ya ufyatuaji mkubwa wa risasi

Clement Silla

October 3rd, 2017

No comments

Polisi nchii Marekani wanaendelea kufanya uchunguzi kina kujua sababu ya ufyatuaji mkubwa wa risasi uliosababisha vifo vya watu 59 na kuwajehi wengine 527 kwenye tamasha moja huko Las Vegas nchni Marekani. Stephen Paddock mwenye umri wa miaka 64, alimimina risasi kutoka ghorofa ya 32 ya […]

Kura ya maoni uhuru wa Catalonia, Kiongozi wa eneo hilo atangaza ushindi

Kura ya maoni uhuru wa Catalonia, Kiongozi wa eneo hilo atangaza ushindi

Clement Silla

October 2nd, 2017

No comments

Kiongozi wa neo la Catalonia Carles Puigdemont anasema kuwa eneo la Uhispania limepata haki ya kuwa huru kufuatia kura ya maoni yenye utata ambayo imekubwa na ghasia ambapo kiongozi huyo amesema sasa mlango umefunguliwa kwa eneo hilo kutangazwa kuwa huru. Maafisa wa Catalonia baadaye walisema […]

Shambulizi mjini Las Vegas Marekani, Watu ishirini wameuawa na wengine mia moja kujeruhiwa

Shambulizi mjini Las Vegas Marekani, Watu ishirini wameuawa na wengine mia moja kujeruhiwa

Clement Silla

October 2nd, 2017

No comments

Watu ishirini wameuawa na huku wengine zaidi ya mia moja wakiripotiwa kujeruhiwa baada ya mtu asiyefahamika kufyatua wa risasi wakati wa tamasha moja huko Las Vegas Marekani. Mtu huyo mwenye silaha alifyatua risasi katika tamasha la muziki kwenye hoteli ya Mandalay Bay mjini humo. Mamia […]

Kura ya maoni uhuru wa Catalonia, Mamia ya raia wafurika katika vituo vya kupigia kura

Kura ya maoni uhuru wa Catalonia, Mamia ya raia wafurika katika vituo vya kupigia kura

Clement Silla

October 1st, 2017

No comments

Mamia ya watu wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura huko Catalonia nchini Uhispania ili kupiga kura ya kujitenga ambayo hata hivyo inadaiwa kuwa imepigwa marufuku na Madrid. Katika miji ya Barcelona, pamoja na Girona, ngome ya rais wa Catalonia Carles Puigdemont, watu wanasema wamejitokeza mapema […]