International News

Ajali ya Ndege ya France, Abiria zaidi ya 500 wanusurika kifo

Ajali ya Ndege ya France, Abiria zaidi ya 500 wanusurika kifo

Clement Silla

October 1st, 2017

No comments

Ndege moja kubwa ya abiria ya AirFrance, muundo wa Airbus 380, imelazimika kutua kwa dharura baada ya injini yake moja kuharibika vibaya, wakati ikiwa angani. Ndege hiyo superjumbo ilikuwa njiani kuelekea Los Angeles- Marekani kutoka mji mkuu wa Ufaransa- Paris, ikiwa na zaidi ya abiria […]

Umoja wa Mataifa Kuwatuma wachunguzi Yemen

Umoja wa Mataifa Kuwatuma wachunguzi Yemen

Clement Silla

September 30th, 2017

No comments

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limekubali kuwatuma wachunguzi wa uhalifu wa kivita nchini Yemen, na hivyo kushinda pingamizi kutoka kwa Saudi Arabia lililopinga kuruhusu uchunguzi huru wa kimataifa. Katika makubaliano hayo yaliyoafikiwa kwa pamoja, baraza hilo limemtaka mkuu wa haki za […]

Wakazi Catalonia walinda vituo vya kura ya maoni yenye utata

Wakazi Catalonia walinda vituo vya kura ya maoni yenye utata

Clement Silla

September 30th, 2017

No comments

Wafuasi wanaounga mkono kura ya maoni ya kujitenga kwa jimbo la Catalonia, wamejipanga katika shule ambazo zitatumika kama vituo vya kupiga kura, katika juhudi za kuhakikisha kura hiyo ambayo imepingwa na serikali kuu mjini Madrid, inafanikiwa hapo kesho. Hayo yamejiri huku maelfu ya watu wakihudhuria […]

Ajali Mumbai India, Watu 12 wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa

Ajali Mumbai India, Watu 12 wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa

Clement Silla

September 29th, 2017

No comments

Watu kumi na wawili wameuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa, kufuatia kisa cha mkanyagano baada ya daraja moja kuporomoka karibu na kituo cha treni, mjini Mumbai India. Mashuhuda wa tuki hilo wanasema wanasema, daraja hilo huenda liliporomoka kutokana mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati huo, […]

Marekani yaitaka Sudan ifanye uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea kwenye kambi ya wakimbizi ya Darfur

Marekani yaitaka Sudan ifanye uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea kwenye kambi ya wakimbizi ya Darfur

Clement Silla

September 28th, 2017

No comments

Serikali ya Marekani imeitaka serikali ya Sudan ifanye uchunguzi wa wazi kuhusu vurugu zilizotokea hivi karibuni kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani kwenye eneo la Darfur. Taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Marekani nchini Sudan imesema serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu matumizi ya nguvu kupita […]

Watu 14 wauawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulzi la risasi nchini Mexico

Watu 14 wauawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulzi la risasi nchini Mexico

Clement Silla

September 28th, 2017

No comments

Watu 14 wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulizi la risasi lililotokea jana usiku kwenye kituo cha kusaidia watu kuondokana na uraibu wa dawa za kulevya kilichoko mkoa wa Chihuahua, kaskazini mwa Mexico. Polisi mkoani humo wamesema, kundi la washambuliaji liliingia kwenye kituo hicho na […]

Iran yafanya majaribio Mapya ya kombora la masafa marefu

Iran yafanya majaribio Mapya ya kombora la masafa marefu

Clement Silla

September 23rd, 2017

No comments

Wakati mvutano ukiwa unaendelea kati ya Iran na Marekani juu ya makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran, kwa mujibu wa taarifa kutoka Iran nchi hiyo imefanya majaribio mapya ya kombora la masafa marefu. Televisheni ya taifa nchini humo ilionyesha uzinduzi wa kombora hilo lenye […]

Vikwazo dhidi ya Korea ya Kaskazini, China yaiongezea shinikizo Korea Kaskazini

Vikwazo dhidi ya Korea ya Kaskazini, China yaiongezea shinikizo Korea Kaskazini

Clement Silla

September 23rd, 2017

No comments

China imeendelea kuishinikiza Korea kaskazini kwa kuiwekea vikwazo vya biashara. Kwa mujibu wa Wizara ya Biashara ya China nchi hiyo itasitisha kupeleka bidhaa za mafuta yaliyosafishwa nchini Korea Kaskazini kuanzia tarehe1 ya mwezi wa Oktoba. Wakati huo huo, uagizaji wa nguo kutoka Korea ya Kaskazini […]

Mgogoro wa syria, Marekani kutoa msaada wa dola mil 700 kusaidia

Mgogoro wa syria, Marekani kutoa msaada wa dola mil 700 kusaidia

Clement Silla

September 22nd, 2017

No comments

Marekani imesema kwamba inahitaji takriban dola milioni mia saba zaidi kuweza kutoa misaada ya kibinaadam nchini Syria. Wizara ya habari imesema zaidi ya dola milioni mia tano itasambazwa kote Syria na fedha nyingine zitapelekwa nchini jirani zinazosaidia kuhifadhi wakimbizi wanaotoka nchni Syria ikiwemo Lebanon Jordan […]

Kimbunga Maria Puerto Rico, Watu saba wapoteza maisha na kusababisha uharibifu mkubwa

Kimbunga Maria Puerto Rico, Watu saba wapoteza maisha na kusababisha uharibifu mkubwa

Clement Silla

September 21st, 2017

No comments

Kimbunga Maria, kimesababisha uharibifu mkubwa katika eneo la West Indies ambapo kimbunga hicho kimeua watu saba katika kisiwa cha Dominica na kusababisha uharibifu mkubwa Puerto Rico. Eneo hilo la Marekani liliharibiwa vibaya na kimbunga Maria siku ya Jumatano na upepo unaokwenda kilomita 250 kwa saa. […]