International News

Machafuko Myanamar, Rais Suu Kyi atakiwa kulaani ghasia dhidi ya Rohingya

Machafuko Myanamar, Rais Suu Kyi atakiwa kulaani ghasia dhidi ya Rohingya

Clement Silla

September 19th, 2017

No comments

Kiongozi wa Myanamar,Aung San Suu Kyi,ametolewa wito kushinikiza kumaliza machafuko dhidi watu wa kabila la Rohingya,katika jimbo la Rakhine,nchini humo. Viongozi wa Uingereza,Ufaransa,Marekani, Canada na Australia,wamemtolea wito mwanamama huyo,akijiandaa hivi leo kulihutubia Taifa hilo kwa njia ya Televisheni. Aung San Suu Kyi,mshindi wa tuzo ya […]

Maandamano yaendelea kupinga bajeti mpya huko Haiti

Maandamano yaendelea kupinga bajeti mpya huko Haiti

Clement Silla

September 19th, 2017

No comments

Mgomo wa madereva kupinga kodi mpya iliyopendekezwa kwenye magari yanayotoa huduma ya usafiri wa umma nchini Haiti,umesimamisha shughuli mbalimbali kote nchini humo hapo jana. Serikali imeongeza kodi inayopingwa na wamiliki na madereva hao katika leseni,mafuta,magari na vitu vingine. Katika hatua nyingine,Waandamanaji wanaondamana kwa wiki ya […]

Polisi London usiku wa kuamkia leo, wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka 21,wakimshuku kuhusika na hili

Polisi London usiku wa kuamkia leo, wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka 21,wakimshuku kuhusika na hili

Clement Silla

September 17th, 2017

No comments

Polisi jijini London, wamesema usiku wa kuamkia leo, wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka 21,wakimshuku kuhusika katika shambulio la kigaidi katika kituo cha treni mjini London juzi. Huyo ni mshukiwa wa pili kukamatwa kufuatia wa kwanza mwenye umri wa miaka 18 kutiwa mbaroni mapema jana. […]

Tetemeko la ardhi Mexico Lauwa zaidi ya watu 60

Tetemeko la ardhi Mexico Lauwa zaidi ya watu 60

Clement Silla

September 9th, 2017

No comments

Zaidi ya watu 60 wamefariki dunia baada ya kadhia ya tetemeko la ardhi la ukubwa kulikumba eneo la pwani ya kusini ya Mexico. Rais Enrique Pena Nieto amesema kimbuka hicho ni kimoja kati ya vimbunga vyenye nguvu zaidi vilivyowahi kurekodiwa nchini mwake. Kiasi cha matetemeko […]

Korea kaskazini, yarusha makombora Baharini

Korea kaskazini, yarusha makombora Baharini

Clement Silla

August 26th, 2017

No comments

Korea Kusini imesema Korea ya Kaskazini imerusha makombora kadhaa baharini katika kile kinachoonekana kuwa ni majaribio ya silaha ya hivi karibuni. Korea kaskazini imeongeza kasi katika mpango wake wa kutengeneza silaha za nyuklia na makombora. Mkuu wa kikosi cha pamoja cha jeshi la Korea Kusini […]

Msaidizi mwingine wa Rais Trump ajiuzuru

Msaidizi mwingine wa Rais Trump ajiuzuru

Clement Silla

August 26th, 2017

No comments

Msaidizi wa masuala ya usalama wa taifa wa rais wa Marekani Donald Trump amejiuzulu wiki chache tu baada ya mkuu wa mipango ya kimkakati Steve Bannon kutimuliwa kutoka ikulu. Kuna taarifa zinatofautiana iwapo mshauri huyo Sebastian Gorka anayeshughulika na vita dhidi ya ugaidi ikiwa amejiuzulu […]

Vikosi vya Iraq vyakomboa vijiji 12 kaskazini mwa nchi hiyo

Vikosi vya Iraq vyakomboa vijiji 12 kaskazini mwa nchi hiyo

Clement Silla

August 22nd, 2017

No comments

Vikosi vya usalama vya Iraq vinavyopambana na wapiganaji wa kundi la Islamic State vimekomboa vijiji 12 katika siku ya kwanza ya operesheni mpya ya kuukomboa mji wa Tal Afar na maeneo ya karibu kutoka kwa kundi hilo. Kamanda wa operesheni ya pamoja Luteni Jenerali Abdul-Amri […]

Rais wa Sierra Leone atangaza siku saba za maombolezo kwa wahanga wa maporomoko ya udongo

Rais wa Sierra Leone atangaza siku saba za maombolezo kwa wahanga wa maporomoko ya udongo

Clement Silla

August 16th, 2017

No comments

Rais Ernest Koroma wa Sierra Leone ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kwa wahanga waliofariki kutokana na maporomoko ya udongo yaliyotokea Jumatatu pembezoni mwa mji wa Freetown. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya rais, maombolezo ya kitaifa yataanza tarehe 16 hadi 22 […]

Watu waiopungua 46 wamefariki kwenye maporomoko ya ardhi kufunika mabasi mawili

Watu waiopungua 46 wamefariki kwenye maporomoko ya ardhi kufunika mabasi mawili

Clement Silla

August 14th, 2017

No comments

Watu waiopungua 46 wamefariki kwenye maporomoko ya ardhi kufunika mabasi mawili katika milima ya Himalayan kaskazini mwa India. wanajeshi na waokoaji wako kwenye eneo hilo la wilaya ya Mandi kutafuta manusura. Hata hivyo mvua kubwa zinatatiza shughuli za uokoaji.

China yatekeleza majukumu ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa katika miaka 27 iliyopita

China yatekeleza majukumu ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa katika miaka 27 iliyopita

Clement Silla

August 11th, 2017

No comments

Mwaka 1990, China ilipeleka kwa mara ya kwanza askari watano katika kundi la usimamizi wa kusimamisha vita la Umoja wa Mataifa. Hadi leo, China imeshiriki operesheni 24 za kulinda amani za Umoja huo na kupeleka askari elfu 33 wa kulinda amani, ikiwa ni nchi inayopeleka […]