International News

Umoja wa mataifa na Marekani walaani kuuawa kwa wanajeshi wa Umoja wa Afrika nchini Somalia

Umoja wa mataifa na Marekani walaani kuuawa kwa wanajeshi wa Umoja wa Afrika nchini Somalia

Clement Silla

August 2nd, 2017

No comments

Umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika wamelaani vikali mauaji ya wanajeshi 12 wa Uganda kwenye kikosi cha tume ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM. Katika taarifa mbili tofauti pande hizo zimesema shambulizi lililotokea katika eneo la lower Shabelle, sio tu […]

Madai ya Udukuzi, Mkwe wa Rais Trump akana kuhusika

Madai ya Udukuzi, Mkwe wa Rais Trump akana kuhusika

Clement Silla

July 25th, 2017

No comments

Mkwe wa Raisi wa Marekani Donald Trump ambaye ni mshauri wake wa karibu, Jared Kushner, amelieleza jopo lenye kufanya uchunguzi wa kina ilikubaini kwamba anahusika katika kampeni chafu dhidi ya Urusi katika udukuzi wa kura uliosababisha kumuweka madarakani Raisi wa Marekani katika uchaguzi ulio fanyika […]

Kufuatia matukio ya kiuhalifu Nchini Israel, Serikali yaweka kamera mpya za kiusalama.

Kufuatia matukio ya kiuhalifu Nchini Israel, Serikali yaweka kamera mpya za kiusalama.

Clement Silla

July 23rd, 2017

No comments

Israel imeweka kamera mpya za kiusalama katika lango la kuingia eneo takatifu la Jerusalem. Kamera hizo zimeonekana leo huku Israel ikisema inafikiria kuhusu suluhisho mbadala wa mashine za kutambua vyuma ambazo ziliwekwa na Israel katika lango la kuingia eneo hilo lenye msikiti wa al-Aqsa wiki […]

Iraq yawakamata wageni 20 wanawake mjini Mosul kwa tuhuma za kujiunga na kundi la IS

Iraq yawakamata wageni 20 wanawake mjini Mosul kwa tuhuma za kujiunga na kundi la IS

Clement Silla

July 20th, 2017

No comments

Vikosi vya usalama vya Iraq vimewakamata wageni 20 wanawake walioko mjini Mosul, wakiwemo raia watano wa Ujerumani, kwa tuhuma za kujiunga na kundi la Islamic State. Wageni hao kutoka nchi mbalimbali zikiwemo Uturuki na Canada, walikamatwa katika hoteli moja walikojificha wakiwa na silaha na mikanda […]

Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

Clement Silla

July 19th, 2017

No comments

Wizara za fedha na mambo ya nje ya Marekani zimetangaza vikwazo dhidi ya watu binafsi na mashirika 18 ya Iran kutokana na kuunga mkono mpango wa Iran wa kuendeleza makombora na kuhusika na vitendo vya uhalifu wa kuvuka mpaka. Taarifa iliyotolewa na wizara ya fedha […]

Wanajeshi zaidi ya 7,000 wa Uturuki wafutwa kazi kwa tuhuma za kushirikiana na kundi la harakati za Gulen

Wanajeshi zaidi ya 7,000 wa Uturuki wafutwa kazi kwa tuhuma za kushirikiana na kundi la harakati za Gulen

Clement Silla

July 14th, 2017

No comments

Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema zaidi ya wanajeshi elfu saba wakiwemo majenerali 150, wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za kushirikiana na kundi linaloongozwa na Fethullah Gulen. Serikali ya Uturuki imemshutumu kiongozi wa kidini Fethullah Gulen anayeishi Marekani, kuwa mpangaji wa jaribio lililoshindwa la mapinduzi ya […]

Mgogoro wa Syria,Mpango wa kusitisha mapigano waleta matumaini

Mgogoro wa Syria,Mpango wa kusitisha mapigano waleta matumaini

Clement Silla

July 10th, 2017

No comments

Mpango wa kusitisha mapigano uliofikiwa kati ya Marekani, Urusi na Jordan umeleta utulivu katika maeneo ya mapambano kusini mwa Syria kabla ya kuanza upya mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mzozo wa nchi hiyo uliodumu miaka sita. Shirika linalofuatilia ukiukaji wa haki za binaadamu nchini […]

Mkutano wa G20 wamalizika, Viongozi wafikia makubaliano kadhaa

Mkutano wa G20 wamalizika, Viongozi wafikia makubaliano kadhaa

Clement Silla

July 9th, 2017

No comments

Viongozi wa mataifa 19 katika mkutano wa mataifa tajiri duniani G20 uliofanyikanchini Ujerumani wameweka upya ahadi yao ya kuidhinisha makubaliano ya Paris kuhusu mabadiliko ya tabia nchi , licha ya Marekani kujiondoa. Tofauti miongoni mwa viongozi zilionekana katika siku ya mwisho hapo jana mjini Hamburg […]

Mgogoro wa Kikanda UAE, Qatar yasema masharti iliyowekewa hayatekelezeki

Mgogoro wa Kikanda UAE, Qatar yasema masharti iliyowekewa hayatekelezeki

Clement Silla

July 5th, 2017

No comments

Qatar imesema masharti iliyowekewa na nchi nne zilizositisha uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara nayo hayawezi kufikiwa. Waziri wa mambo ya nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema kuwa orodha ya masharti ambayo nchi yake inapaswa kutimiza hayawezi kutekelezeka na hayahusu vita dhidi […]

Baada ya North Korea kurusha makombora ya Masafa marefu, Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa lafanya kikao cha dharura

Baada ya North Korea kurusha makombora ya Masafa marefu, Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa lafanya kikao cha dharura

Clement Silla

July 5th, 2017

No comments

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litafanya kikao cha dharura kuhusu Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo hapo jana kutangaza imefanikiwa kurusha kombora la masafa marefu. Marekani ambayo imethibitisha kuwa Korea Kaskazini ilirusha kombora hilo pamoja na Japan na Korea Kusini zimeitisha kikao […]