International News

Shambulio la mtandao, Mamlaka nchini Marekani kufanya uchunguzi

Shambulio la mtandao, Mamlaka nchini Marekani kufanya uchunguzi

Clement Silla

June 28th, 2017

No comments

Mamlaka nchini Marekani imesema inachunguza shambulio kubwa la kimtandao ambalo limekumba mifumo ya kompyuta duniani kote. Baraza la Taifa la Usalama jijini Washington limesema Marekani imedhamiria kuwachukulia hatua wahusika wa uhalifu huo wa mtandaoni. Mashirika mbalimbali ikiwemo taasisi za kifedha, idara za serikali, makampuni makubwa, […]

Shambulizi la kigaidi, Rais Maduro amesema helikopta ya polisi ilidondosha maguruneti mawili kwenye jengo

Shambulizi la kigaidi, Rais Maduro amesema helikopta ya polisi ilidondosha maguruneti mawili kwenye jengo

Clement Silla

June 28th, 2017

No comments

Rais Nicolas Maduro amesema helikopta ya polisi ilidondosha maguruneti mawili kwenye jengo la Mahakama ya Juu ya Venezuela katika mji mkuu Caracas. Rais huyo wa Venezuela alilielezea tukio hilo kuwa “shambulizi la kigaidi na jaribio la mapinduzi” na ameliweka jeshi katika hali ya tahadhari kuchukua […]

Polisi Instabul Uturuki, yavunja maandamano ya wapenzi wa jinsia moja

Polisi Instabul Uturuki, yavunja maandamano ya wapenzi wa jinsia moja

Clement Silla

June 26th, 2017

No comments

Polisi nchini Uturuki wameripotiwa kutumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyavunja makundi mawili ya watu waliojaribu kushiriki katika maandamano ya wapenzi wa jinsia moja mjini Istanbul hapo jana. Awali, waandaaji walisema wataendelea na maandamano yao katika Uwanja wa Taksim kama ilivyopangwa licha […]

PAKISTAN Watu 153 wauawa katika tukio la moto wa lori la mafuta

PAKISTAN Watu 153 wauawa katika tukio la moto wa lori la mafuta

Clement Silla

June 26th, 2017

No comments

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mkasa wa moto wa lori la kusafirisha mafuta katika mkoa wa Punjab nchini Pakistan imefikia 153. Watu wengine wengi wamelazwa hospitali wakiwa katika hali mbaya, baada ya kujeruhiwa vibaya na moto huo. Imeripotiwa kuwa watu wa kijiji cha […]

Mashua yazama Colombia sita wafa maji, Sita wafa maji, Kumi na Sita hawajulikani waliko

Mashua yazama Colombia sita wafa maji, Sita wafa maji, Kumi na Sita hawajulikani waliko

Clement Silla

June 26th, 2017

No comments

Idara ya polisi nchini Colombia, imesema watu 6 wamefariki katika ajali ya kuzama kwa boti moja ya abiria katika bwawa moja, katika mji ulioko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Watu 16 hawajulikani waliko, baada ya chombo hicho cha ghorofa nne kuzama, ambapo inaelezwa boti hiyo […]

Ajali ya moto Pakistan, Mamia wapoteza maisha

Ajali ya moto Pakistan, Mamia wapoteza maisha

Clement Silla

June 25th, 2017

No comments

Watu zaidi ya 150 inasadikiwa wamepoteza maisha , baada ya lori la kubeba mafuta kupata ajali na kuteketea moto nchini Pakistan. Lori hilo lililokuwa limebeba lita 40,000 za mafuta lilipata ajali katika barabara kuu ya kutoka Karachi kuelekea Lahore. Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zasema kuwa, […]

Ajali ya Meli kugongana, Miili 7 ya mabaharia yapatikana

Ajali ya Meli kugongana, Miili 7 ya mabaharia yapatikana

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

Miili 7 ya mabaharia wa Marekani waliokuwa wametoweka baada ya manoari yao ya jeshi la majini la Marekani kugongana na meli moja ya mizigo katika pwani ya Japan, imepatikana. Miili hiyo ilipatikana ndani ya meli hiyo katika chumba cha kulala ambacho kiliharibika na kujaa maji […]