Local News

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji,  na Tathmini  TAKUKURU afikishwa mahakamani

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini TAKUKURU afikishwa mahakamani

Clement Silla

March 29th, 2019

No comments

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji, na Tathmini wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Kulthum Mansoor afikishwa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Machi, 2019 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Misa Takatifu ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar es Salaam.

March 6th, 2019

No comments

Misa hiyo imeongozwa na Paroko Msaidizi wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph Padre Joseph Mosha. Mhe. Rais Magufuli amehudhuria misa hiyo akiwa na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli. Jumatano ya Majivu ni kuanza kwa kipindi cha Kwaresma ambapo Wakristo huingia katika mfungo na maombi ya […]

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, ambapo ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95.

March 1st, 2019

No comments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, ambapo ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika Mei […]

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara kupeleka muswada Bungeni kwa ajili ya kuunganisha Taasisi mbili za Serikali ambazo ni TBS na TFDA kutokana na Taasisi hizo kufanana katika utendaji kazi.

February 28th, 2019

No comments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara kupeleka muswada Bungeni kwa ajili ya kuunganisha Taasisi mbili za Serikali ambazo ni Shirika la Viwango Tanzania TBS pamoja na Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kutokana na Taasisi hizo kufanana katika utendaji kazi pamoja […]

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 28 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) . Kazuhiko Koshikawa.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 28 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) . Kazuhiko Koshikawa.

Clement Silla

February 28th, 2019

No comments

Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto. Rais Magufuli ameishukuru JICA kwa kuwa mdau muhimu wa maendeleo ya Tanzania […]

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza wizara, na taasisi zinazojihusisha na masuala ya elimu kuhakikisha zinapeleka vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinavyozingatia teknolojia mpya.

February 27th, 2019

No comments

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza wizara, na taasisi zinazojihusisha na masuala ya elimu kuhakikisha zinapeleka vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinavyozingatia teknolojia mpya kulingana na mitaala ya serikali pamoja na kusambaza walimu katika vituo vya wenye uhitaji maalumu nchini ili kusaidia jamii hiyo […]

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa kutoka Hospitali ya Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking (PUIH) iliyopo Beijing nchini China.

February 26th, 2019

No comments

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa kutoka Hospitali ya Kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking (PUIH) iliyopo Beijing nchini China Prof. Zhao Yuanil ambaye ameongoza timu ya wataalamu wanaoshirikiana na Taasisi ya […]

Ubelgiji imesema itaendelea kudumisha Ushirikiano na Tanzania katika nyanja za kiuchumi na kimaendeleo ikiwa ni azma yake kuunga mkono mikakati inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

February 25th, 2019

No comments

Ubelgiji imesema itaendelea kudumisha Ushirikiano na Tanzania katika nyanja za kiuchumi na kimaendeleo ikiwa ni azma yake kuunga mkono mikakati inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano ya kuimarisha na kuboresha huduma za kijamii kwa wananchi pamoja na miradi mikubwa ya Kimaendeleo ikiwemo ya Miundombinu. […]

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na wazazi wilayani Siha mkoani Kilimanjaro washirikiane kuhakikisha watu wote waliowapa mimba wanafunzi wanasakwa na kufikishwa kwenye vyombo vya dola.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na wazazi wilayani Siha mkoani Kilimanjaro washirikiane kuhakikisha watu wote waliowapa mimba wanafunzi wanasakwa na kufikishwa kwenye vyombo vya dola.

Clement Silla

February 25th, 2019

No comments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na wazazi wilayani Siha mkoani Kilimanjaro washirikiane kuhakikisha watu wote waliowapa mimba wanafunzi wanasakwa na kufikishwa kwenye vyombo vya dola, ambapo amesema katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Desemba mwaka jana, wanafunzi wa kike 57 walikatishwa masomo baada […]

RAIS wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein amewataka wananchi kisiwani Pemba kuendelea kuiunga Mkono serikali katika kulinda miundombinu dhidi ya hujuma za baadhi ya wachache ili iweze kudumu.

RAIS wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein amewataka wananchi kisiwani Pemba kuendelea kuiunga Mkono serikali katika kulinda miundombinu dhidi ya hujuma za baadhi ya wachache ili iweze kudumu.

Clement Silla

February 25th, 2019

No comments

Akizungumza na wananchi wa wilaya chakechake baada ya kuzindua kituo cha Afya Ngomeni, Dkt Shein ameahidi kufuatilia ili kujua gharama zilizotumika katika ujenzi wa kituo hicho. Mapema waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa , Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za […]