Local News

Uteketezaji wa Mashamba ya Bangi, Jeshi la Polisi Lindi lafanya msako Kijiji cha Mnali

Uteketezaji wa Mashamba ya Bangi, Jeshi la Polisi Lindi lafanya msako Kijiji cha Mnali

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

Jeshi la polisi wilaya na mkoa wa Lindi limefanikiwa kufyeka na kuteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari mbili,na kukamata lita 177 za pombe haramu aina ya gongo na kuwashikilia jumla ya wanaume kumi na wanawake saba. Ikiwa ni operesheni ya kawaida […]

Mgomo wa madereva Songwe, Baadhi ya madereva wakamatwa ,waswekwa rumande

Mgomo wa madereva Songwe, Baadhi ya madereva wakamatwa ,waswekwa rumande

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

MADEREVA zaidi ya 40 wanaoendesha magari ya abiria aina ya Coster zinazofanya safari kati ya Tunduma – Mbeya,wamakamatwa na jeshi la polisi mkoani Songwe,na kuwekwa rumande,wakituhumiwa kufanya mgomo unaodaiwa kuwa sio rasmi. Hatua ya madereva hao kufanya mgomo,imekuja baada ya wenzao 4 kukamatwa na jeshi […]

Mashtaka sita ya uhujumu uchumi, Sethi na Rugemarila leo wamepandishwa kizimbani Kisutu

Mashtaka sita ya uhujumu uchumi, Sethi na Rugemarila leo wamepandishwa kizimbani Kisutu

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

Harbinder Singh Sethi na James Burchard Rugemarila leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi likiwamo la kusababisha hasara ya takribani dola za kimarekani milioni 22.1 sawa na takribani shilingi za kitanzania bilioni 309. 4 Wakili wa […]

Mafunzo ya awali JWTZ, Askari 1,833 wahitimu RTS Kihangaiko

Mafunzo ya awali JWTZ, Askari 1,833 wahitimu RTS Kihangaiko

Clement Silla

June 19th, 2017

No comments

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema nia ya jeshi hilo kuongeza uandikishaji wa vijana wenye elimu ya juu unalenga kuwezesha kuwa na askari wenye uwezo na weledi mkubwa katika kutafsiri mambo haraka na kwa ufasaha. Mkuu wa Chuo cha Kijeshi cha Uongozi Monduli (TMA), […]

Utendaji wa rais Magufuli, CCM yatoa tamko la kuunga mkono

Utendaji wa rais Magufuli, CCM yatoa tamko la kuunga mkono

Clement Silla

November 13th, 2012

No comments

Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Tanzania Bara Philip Mangula ametoa tamko la kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli katika utendaji kazi wake kwa kulinda na kusimamia rasilimali za Taifa ukiwemo mchanga wa madini ya dhahabu ambao […]