Local News

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewataka wananchi kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kupanda miti na kuitunza ili azma ya serikali ya kufikia uchumi wa kati kupitia Sekta ya Viwanda iweze kufikiwa.

Clement Silla

February 25th, 2019

No comments

Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo katika kongamano maalumu la mazingira mkoa ni Tabora ambalo limewakutanisha wadau mbalimbali ili kujadili namna ya kunusuru mkoa wa Tabora kutoka katika hatari ya kuwa jangwa. Katika hatua nyingine ameagiza kutumia rasilimali zilizopo kuwa na mfuko wa mazingira. Awali […]

Kuelekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya Redio Magic FM na CRI Kiswahili ya China wametoa zawadi kwa wasikilizaji wake 11

Kuelekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya Redio Magic FM na CRI Kiswahili ya China wametoa zawadi kwa wasikilizaji wake 11

Clement Silla

December 8th, 2017

No comments

Kuelekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kampuni ya Africa Media Group yenye vituo vyake vya Channel ten na Redio Magic FM ikishirikiana na redio China Kimataifa CRI Kiswahili imetoa zawadi kwa Wasikilizaji wake 11 ambao walitoa mawazo yao yaliyowekwa katika mitandao ya Magic Fm […]

Hati Mpya za Ardhi, Kuanza kutolewa mwakani

Hati Mpya za Ardhi, Kuanza kutolewa mwakani

Clement Silla

November 27th, 2017

No comments

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi bwana William Lukuvi ameagiza kuanza kutolewa kwa Hati Mpya za Umiliki wa Ardhi ifikapo tarehe moja Mwezi Juni mwakani, ikiwa ni hatua ya kuondoa urasimu na kuongeza ufanisi katika sekta ya ardhi, na kumaliza kabisa migogoro ya […]

Jengo la Wizara ya Maji labomolewa, Waziri wa Maji asimamia ubomoaji

Jengo la Wizara ya Maji labomolewa, Waziri wa Maji asimamia ubomoaji

Clement Silla

November 27th, 2017

No comments

Waziri wa maji na umwagiliaji Mhandisi Isaac Kamwelwa amesimamia zoezi la ubomoaji wa ofisi za wizara hiyo zilizopo eneo la ubungo Maji jijini Dar es salaam ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais DK John Pombe Magufuli alilotoa hivi karibuni. Zoezi la ubomoaji wa ofisi […]

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, Mkakati wa matumizi ya Kondomu wazinduliwa

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, Mkakati wa matumizi ya Kondomu wazinduliwa

Clement Silla

November 27th, 2017

No comments

Tume ya taifa ya kudhibiti UKIMWI imezindua wiki ya maonesho na huduma kuelekea maadhimisho ya siku ya UKIMWi duniani Desemba Mosi pamoja na mkakati wa taifa wa matumizi ya kondomu kwa mwaka 2016 / 2018. Mkakati wa taifa wa matumizi ya kondomu umetayarishwa kueleza vipaumbele […]

Serikali Mkoa wa DSM yashukuru Kwa huduma ya madaktari bingwa kwenye meli ya China

Serikali Mkoa wa DSM yashukuru Kwa huduma ya madaktari bingwa kwenye meli ya China

Clement Silla

November 27th, 2017

No comments

Serikali ya Mkoa wa Dsm imewashukuru Madakari bingwa na wauguzi 381 waliotoa huduma za upimaji afya, matibabu , dawa na Upasuaji kwa wananchi zaidi ya 5600 katika kipindi cha Siku 7 katika meli ya jeshi la majini la China ambayo ilitia nanga jijini Dsm Novemba.19 […]

Serikali imesisitiza kuwa kwa sasa haina mpango wa kuendelea na mchakato wa katiba mpya

Serikali imesisitiza kuwa kwa sasa haina mpango wa kuendelea na mchakato wa katiba mpya

Clement Silla

November 9th, 2017

No comments

Serikali imesisitiza kuwa kwa sasa haina mpango wa kuendelea na mchakato wa katiba mpya, na kipau mbele chake ni kuhakikisha inaboresha huduma mbalimbali za jamii, ili wananchi waweze kukuza uchumi wao. Msisitizo huo umetolewa bungeni mjini Dodoma na Waziri Mkuu Bw. Kassim Majaliwa, wakati alipokuwa […]

Mabasi yaendayo haraka DSM, UDART kurejesha huduma katika hali ya kawaida

Mabasi yaendayo haraka DSM, UDART kurejesha huduma katika hali ya kawaida

Clement Silla

November 8th, 2017

No comments

Watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam UDART wamemweleza Naibu waziri ofisi ya rais – TAMISEMI Josephat Kandege kuwa wanataraji kurejesha huduma katika hali ya kawaida kesho , mara baada ya kukamilisha taratibu za utoaji wa vifaa vya kutengenezea […]

Uuzwaji madini ya Almasi, Serikali imesema imepata mapato ya Sh. Bil. 1.614

Uuzwaji madini ya Almasi, Serikali imesema imepata mapato ya Sh. Bil. 1.614

Clement Silla

November 8th, 2017

No comments

Serikali kupitia Wizara ya Madini imesema imepata jumla ya mapato ya kiasi cha shilingi bilioni 1.614 kutokana na mauzo ya almasi za Kampuni ya Williamson Diamonds ltd, zilizouzwa jana kwa njia ya mnada huko nchini Ubelgiji. Akitoa taarifa hiyo mbele ya Waandishi wa habari Waziri […]

Paul Makonda amewaita Ofisini kwake TANESCO kujua wanachukua hatua gani kukatika kwa Umeme mara kwa mara DSM

Paul Makonda amewaita Ofisini kwake TANESCO kujua wanachukua hatua gani kukatika kwa Umeme mara kwa mara DSM

Clement Silla

November 2nd, 2017

No comments

Shirika la Umeme Tanesco Kanda ya Dsm na Pwani limesema Tatizo la kukatikakatika kwa Umeme na Mgao Usio rasmi katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dsm na Mkoani Pwani litamalizika katika kipindi cha siku mbili zijazo kuanzia leo baada ya kufanya marekebisho kutokana na […]