Local News

Uhuru wa Vyombo vya Habari, MCT yadai kutoridhishwa na mwenendo wa sasa

Uhuru wa Vyombo vya Habari, MCT yadai kutoridhishwa na mwenendo wa sasa

Clement Silla

November 2nd, 2017

No comments

Baraza la habari Tanzania (MCT), limesema haliridhishwi na mwenendo wa sasa wa jinai dhidi ya waandishi na vyombo vya habari unaofanywa na dola kufuatia vitendo vya uonevu, vikwazo vya kupata habari ikiwemo kufungiwa kwa vyombo ilikosema kumekithiri katika siku za hivi karibuni, hata hivyo limewaasa […]

Wadau wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono RC Makonda ambapo Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu ya Jeshi la Polisi

Wadau wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono RC Makonda ambapo Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu ya Jeshi la Polisi

Clement Silla

October 31st, 2017

No comments

Wadau mbali mbali wa maendeleo katika jiji la Dsm wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ambapo Kampuni ya kutengeneza magari ya Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu yakiwemo ya jeshi la Polisi 4,Jeshi la wananchi 3 pamoja Magereza […]

Matokeo ya darasa la saba, Makonda awapongeza walimu

Matokeo ya darasa la saba, Makonda awapongeza walimu

Clement Silla

October 24th, 2017

No comments

Mkuu wa Mkoa wa dar es salaam Paul Makonda amewapongeza walimu wa Shule za Msingi katika Mkoa huo kutokana na Matokeo mazuri katika mtihani wa Darasa la saba ambapo unaongoza kitaifa na kuahidi kushughulikia kero mbalimbali zinazowakabili walimu mkoni humo. Akizungumza jijini dar es salaam […]

kesi ya Lulu yaairishwa mpaka oktober 25,2017, Mke wa Dokta Slaaa,akwamisha ushahidi

kesi ya Lulu yaairishwa mpaka oktober 25,2017, Mke wa Dokta Slaaa,akwamisha ushahidi

Clement Silla

October 24th, 2017

No comments

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar Es Salaam leo imeshindwa kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa utetezi wa Msanii Elizabeth Michael ”maarufu kama Lulu,katika kesi inayomkabili ya mauaji ya bila kukusudia baada ya shahidi wa upande huo Josephine Mushumbusi ambaye ni mke wa aliyekuwa […]

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson leo alitarajiwa kuwasili mjini Islamabad

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson leo alitarajiwa kuwasili mjini Islamabad

Clement Silla

October 24th, 2017

No comments

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson leo alitarajiwa kuwasili mjini Islamabad kujadiliana na viongozi wa Pakistan jinsi ya kumaliza mzozo katika nchi jirani ya Afghanistan ambao umekuwepo kwa zaidi ya miaka 15. Bwana Tillerson atakutana na waziri mwenzake, Khawaja Asif na Waziri […]

Kesi ya Lulu mahakama kuu, Ajitetea dhidi ya kesi inayomkabili

Kesi ya Lulu mahakama kuu, Ajitetea dhidi ya kesi inayomkabili

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Jamii imekumbushwa kubadili tabia ya ulaji wa vyakula usiofaa sambamba na kuwapatia mazoezi watoto, ili kuondokana na tatizo la Ugonjwa wa Kisukari ambalo limekuwa likisumbua rika hilo kwa kasi kubwa hivi sasa . Kwa mujibu wa Chama cha Ugonjwa wa Kisukari, kuna zaidi ya watoto […]

Rais Magufuli atunuku vyeti kamati za madini, Watanzania watakiwa kupuuza uvumi juu ya maridhiano na Barrick

Rais Magufuli atunuku vyeti kamati za madini, Watanzania watakiwa kupuuza uvumi juu ya maridhiano na Barrick

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Rais Dk JOHN MAGUFULI,amewataka Watanzania kupuuza uvumi kutoka baadhi ya watu wanaobeza maridhiano yaliyofikiwa baina ya serikali na kampuni ya Barrick,kwa kuwa ni ya kisheria na kwamba kauli ya wawekezaji hao ni rasmi ikizingatiwa umiliki wake wake mkubwa zaidi wa hisa za kampuni hiyo. Rais […]

Kesi ya Lulu, Jamhuri yaanza kutoa ushahidi

Kesi ya Lulu, Jamhuri yaanza kutoa ushahidi

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Mahakama kuu ya kanda ya Dar es salaam imeanza kusilikiliza kesi ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ambapo leo shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ametoa ushahidi wake huku shahidi wa pili akishindwa […]

Wiki ya chakula Duniani, Serikali yatakiwa kuongeza rasilimali

Wiki ya chakula Duniani, Serikali yatakiwa kuongeza rasilimali

Clement Silla

October 19th, 2017

No comments

Serikali na wadau wengine wa chakula na lishe wametakiwa kuongeza rasilimali za kifedha na zisizo za kifedha kwa ajili ya lishe katika ngazi za kitaifa na halmashauri. Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na wataalamu wa chakula na lishe, wakati walipokuwa wakitoa ujumbe wao […]

Waziri amuagiza mkandarasi kukamilisha ujenzi wa Daraja Rukwa

Waziri amuagiza mkandarasi kukamilisha ujenzi wa Daraja Rukwa

Clement Silla

October 18th, 2017

No comments

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa MAKAME MBARAWA amemuagiza mkandarasi anayejenga daraja hilo kukamilisha ujenzi ndani ya miezi kumi na tatu kama mkataba unavyoeleza vinginevyo atafungiwa kupata kazi ndani ya nchi ya Tanzania. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la […]