Local News

PICHA : Wasikilizaji wa Magic Fm Manzese Bhakhresa walivyoenjoy na Busati Lao

PICHA : Wasikilizaji wa Magic Fm Manzese Bhakhresa walivyoenjoy na Busati Lao

Clement Silla

October 12th, 2017

No comments

Tunakuja Mtaani Kwako. Tazama Video hapa Chini;

Janga la Moto DSM, Lateketeza ghala na shehena ya matairi

Janga la Moto DSM, Lateketeza ghala na shehena ya matairi

Clement Silla

October 6th, 2017

No comments

Moto mkubwa umeteketeza ghala la matairi kwenye Kampuni ya Superdoll trailer Manufacture iliyoko barabara ya Nyerere wilayani Temeke jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ambayo thamani yake bado haijafahamika. Aidha inaaminika kuwa shehena iliyokuwa imehifadhiwa katika ghala hilo imetekea kufuatia janga hilo. Channel ten […]

Mkasa wa vifo vya GONGO Kimara Stop Over, Mashuhuda wasimulia,wazilaumu mamlaka husika na polisi

Mkasa wa vifo vya GONGO Kimara Stop Over, Mashuhuda wasimulia,wazilaumu mamlaka husika na polisi

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Baadhi ya majirani na mashuhuda wa vifo vya mmojawapo ya watu waliofariki katika eneo la Kimara Stop Over,Kinondoni,Dar Es Salaam, baada ya kunywa pombe haramu ya kienyeji aina ya gongo,inayodaiwa kuchanganywa na kemikali kadhaa ikiwamo jiki na spiriti,kwa nia ya kuziongezea makali, wameisimulia channnel Ten,mkasa […]

Ujenzi Hospitali ya Temeke DSM, Asilimia 80 ya jengo la kitengo dharura na upasuaji yakamilika

Ujenzi Hospitali ya Temeke DSM, Asilimia 80 ya jengo la kitengo dharura na upasuaji yakamilika

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Ujenzi wa jengo la kitengo cha huduma za dharura na Upasuaji katika hospital ya Temeke jijini dsm unaofadhiliwa na Ubalozi wa Japan kwa gharama ya shilingi millioni 323 umekamilika kwa asilimia 80 huku changamoto ikiwa ni ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya Utoaji huduma […]

Miili inayoopolewa Baharini, Jeshi la Polisi launda timu ya wataalam kuchunguza

Miili inayoopolewa Baharini, Jeshi la Polisi launda timu ya wataalam kuchunguza

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa Jeshi la polisi nchini limeunda timu ya wataalamu kupeleleza na kuchunguza miili ya watu inayoopolewa baharini siku za hivi karibuni ambayo imezua gumzo miongoni mwa wananchi. Jeshi hilo pia limewataka watu waliopotelewa na ndugu […]

Taasisi ya elimu pamoja na Bodi ya Mikopo, Waziri Ndalichako azitaka kushughulikia taarifa za uchunguzi

Taasisi ya elimu pamoja na Bodi ya Mikopo, Waziri Ndalichako azitaka kushughulikia taarifa za uchunguzi

Clement Silla

October 4th, 2017

No comments

Baraza la taasisi ya elimu Tanzania TET limetakiwa kuhakikisha linawachukulia hatua wahusika wote wa sakata la uandishi mbovu wa vitabu, na watumishi ambao hawana sifa kuwemo katika taasisi hiyo pamoja na kuhakikisha vitabu vilivyokuwa na makosa vinarekebishwa ili viweze kutoka. Agizo hilo limetolewa jijini Dar […]

Uzinduzi wa Makumbusho ya Olduvai George Kuvutia watalii wengi na wanasayansi wa mambo ya kale

Uzinduzi wa Makumbusho ya Olduvai George Kuvutia watalii wengi na wanasayansi wa mambo ya kale

Clement Silla

October 4th, 2017

No comments

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi makumbusho ya Olduvai Gorge katika hifadhi ya Ngorongoro eneo pekee duniani ambapo inapatikana historia ya muda mrefu ya chimbuko la binadamu na hivyo kuwa moja ya kivutio kikubwa cha watalii nchini. Akizungumza katika uzinduzi huo, ulieonda […]

Rais Dkt John Pombe Magufuli amezitaka Halmashauri nchini kuendelea kudhibiti mianya ya Upotevu wa mapato

Rais Dkt John Pombe Magufuli amezitaka Halmashauri nchini kuendelea kudhibiti mianya ya Upotevu wa mapato

Clement Silla

October 3rd, 2017

No comments

Rais Dkt John Pombe Magufuli amezitaka Halmashauri nchini kuendelea kudhibiti mianya ya Upotevu wa mapato na Ubadhirifu, watumishi wa sio waadilifu katika halmashauri zao huku akizipa changamoto ya kubuni mbinu za kuongeza mapato ili kuwaletea maendeleo wananchi. Akifungua Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya […]

Sakata la mwekezaji stendi ya Makumbusho, Serikali yamuamuru kulipa deni la Milioni 79 ndani ya mwezi mmoja

Sakata la mwekezaji stendi ya Makumbusho, Serikali yamuamuru kulipa deni la Milioni 79 ndani ya mwezi mmoja

Clement Silla

September 30th, 2017

No comments

Serikali wilaya ya Kinondoni,imetoa mwezi moja kwa mwekezaji wa stend ya makumbusho,Dar Es Salaam, pamoja na jengo la ghorofa lilopo katika stend hiyo, kulipa shilingi milioni 79 ambazo anadaiwa na manispaa ya kinondoni ama la akishindwa manispaa isitishe mkataba wake alioukiuka. Mkuu wa Wilaya hiyo, […]

JKT watekeleza agizo la Rais Magufuli kuzindua kambi

JKT watekeleza agizo la Rais Magufuli kuzindua kambi

Clement Silla

September 26th, 2017

No comments

Mafunzo ya jeshi la kujenga taifa JKT kwa wananchi wakiwemo watumishi wa umma, wanafunzi na viongozi wa kisiasa yameendelea kutoa mchango mkubwa katika kujenga na kusimamia nidhamu, utii na uzalendo katika taifa hususan makundi hayo yanapopata nafasi na dhamana ya kulitumikia taifa katika Nyanja za […]