Local News

Rais Magufuli atunuku kamisheni Kwa Maafisa wapya 422 wa JWTZ

Rais Magufuli atunuku kamisheni Kwa Maafisa wapya 422 wa JWTZ

Clement Silla

September 23rd, 2017

No comments

Rais John Pombe Magufuli amewatunuku kamisheni maafisa wapya wa jeshi la ulinzi la Tanzania kundi la sitini na moja la mwaka 2016 huku akitumia nafasi hiyo kuwahutubia wananchi waliofika katika sherehe hizo ambapo ametoa nafasi elfu tatu za ajira kwa askari wa JKT kuajiriwa katika […]

Tatizo la mimba shuleni, Wanafunzi 126 wapata mimba miezi tisa iliyopita

Tatizo la mimba shuleni, Wanafunzi 126 wapata mimba miezi tisa iliyopita

Clement Silla

September 23rd, 2017

No comments

Licha ya serikali kuweka wazi kuwa mwanafunzi anaepata ujauzito hataruhusiwa kuendelea na masomo yake kwenye shule za Umma, bado baadhi ya wanafunzi wa kike wilayani UKEREWE mkoani Mwanza wameendelea kujihusisha na vitendo vya ngono na kuishia kupata ujauzito. Katika kipindi cha miezi tisa iliyopita, wanafunzi […]

Ulinzi na usalama wa mitandaoni, Askari 21 wa JWTZ wahitimu mafunzo DIT

Ulinzi na usalama wa mitandaoni, Askari 21 wa JWTZ wahitimu mafunzo DIT

Clement Silla

September 22nd, 2017

No comments

Serikali imeahidi kuendelea kuimarisha vitengo vyake vya ulinzi na usalama wa mitandao, ili kuwajengea watendaji wake uwezo wa kupambana na changamoto zitokanazo na maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano TEHEMA. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika wizara ya ulinzi na […]

Matibabu ya Tundu Lissu Yafikia Shilingi Milioni 162.8

Matibabu ya Tundu Lissu Yafikia Shilingi Milioni 162.8

Clement Silla

September 22nd, 2017

No comments

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema mpaka septamba 20 mwaka huu, takribani kiasi cha shilingi za kitanzania milioni 162.8 zimetumika katika matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyelazwa katika hospitali ya NairObi nchni Kenya baada ya kujeruhiwa kwa […]

Kukabiliana na upungufu wa walimu, Ubalozi wa Marekani waapisha walimu 57 wakujitolea

Kukabiliana na upungufu wa walimu, Ubalozi wa Marekani waapisha walimu 57 wakujitolea

Clement Silla

September 21st, 2017

No comments

Serikali imeendelea na mikakati yake kujiimarisha ili kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta ya elimu zinamalizika huku ikiendelea kushirikiana na wadau wanaojitokeza kuunga mkono jitihada hizo kupitia miradi yao. Hayo yamebainishwa na katibu mkuu wa Wizara ya elimu na mafunzo Dk. Leonard Akwilapo wakati wa hafla ya […]

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dsm linawashikilia watuhumiwa 36 kwa tuhuma za kujihusisha na vurugu Jangwani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dsm linawashikilia watuhumiwa 36 kwa tuhuma za kujihusisha na vurugu Jangwani

Clement Silla

September 21st, 2017

No comments

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dsm linawashikilia watuhumiwa 36 kwa tuhuma za kujihusisha na vurugu iliyosababisha askari watatu na mwandishi mmoja wa habari kujeruhiwa kwa chupa na mawe lakini pia kuharibu magari zaidi ya saba kwa kuvunja vioo wakati wakijaribu kuzuia zoezi la […]

Serikli imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu

Serikli imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu

Clement Silla

September 21st, 2017

No comments

Serikali imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu endapo itapkea maombi rasmi kutoka kwa ndugu na jamaa ambao wanashughulikia matibabu yake Naironbi nchini Kenya. Kauli hiyoimetolewa na Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu katika […]

Ujenzi wa Ofisi za Walimu na vyoo, Ufyatuaji matofali wazinduliwa rasmi

Ujenzi wa Ofisi za Walimu na vyoo, Ufyatuaji matofali wazinduliwa rasmi

Clement Silla

September 20th, 2017

No comments

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo amezindua kazi ya Ufyatuaji Matofali kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa ofisi 402 za walimu na vyoo katika shule za msingi na sekondari jijini Dar es salaam. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika eneo la […]

Utekelezaji wa sheria ya mazingira, Serikali yavitahadharisha viwanda

Utekelezaji wa sheria ya mazingira, Serikali yavitahadharisha viwanda

Clement Silla

September 20th, 2017

No comments

Naibu waziri wa ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira Luhaga Mpina amesema serikali haitawavumilia wamiliki wa viwanda wanaoshindwa kutekeleza sheria ya utunzaji mazingira kwa kisingizio cha kufamnya uwekezaji huku wananchi wakiendelea kuvilalamikia. Naibu waziri Mpina ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam ikiwa […]

Gazeti la Mwanahalisi lafungiwa, Ladaiwa kukiuka maadili ya Uandishi wa habari

Gazeti la Mwanahalisi lafungiwa, Ladaiwa kukiuka maadili ya Uandishi wa habari

Clement Silla

September 19th, 2017

No comments

Serikali imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia leo,kufutia ilichosema gazeti hilo kukiuka maadili ya taaluma ya uandishi wa habari na kudai kuwa gazeti hilo limefikia hatua ya kuacha uandishi wa habari na kufanya kitu kinachofanana na taaluma hiyo. Miongoni mwa sababu […]