Sports & Entertainment News

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group Ltd Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group Ltd Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela

Clement Silla

November 11th, 2017

No comments

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten na Redio Magic FM Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela , baada ya kufunga pingu za maisha na bi Sweet Patricia Suleiman. Dativas Mango ambaye pia ni Meneja wa Redio […]

Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare.

Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare.

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea wikiendi iliyomalizika huku Manchester City wakifanya mauaji kwa kuichapa Stoke City magoli 7-2. Crystal Palace imeilaza Chelsea kwa goli 2-1, huku Arsenal ikibomolewa na Watford kwa jumla ya magoli 2-1. Nayo Manchester United imeambulia sare ya 0-0 dhidi ya […]

Michuano ya Volleyball ya wanawake: Kenya, Cameroon zafuzu kushiriki kombe la dunia

Michuano ya Volleyball ya wanawake: Kenya, Cameroon zafuzu kushiriki kombe la dunia

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Timu ya taifa za volleyball za wanawake za Kenya na Cameroon zimefuzu kushiriki fainali za kombe la dunia (FIVB) katika mashindano ya volleyball ya wanawake zitakazoandaliwa nchini Japan 2018. Malkia Strikers ya Kenya imejizolea tiketi hiyo baada ya kuwafunga mahasimu wao Misri kwa seti 3-0 […]

PICHA : Wasikilizaji wa Magic Fm Manzese Bhakhresa walivyoenjoy na Busati Lao

PICHA : Wasikilizaji wa Magic Fm Manzese Bhakhresa walivyoenjoy na Busati Lao

Clement Silla

October 12th, 2017

No comments

Tunakuja Mtaani Kwako. Tazama Video hapa Chini;

Ubaguzi wa rangi waiweka pabaya timu ya Lazio nchini Italia

Ubaguzi wa rangi waiweka pabaya timu ya Lazio nchini Italia

Clement Silla

October 6th, 2017

No comments

Chama cha soka nchini Italia kimeipa adhabu klabu ya Lazio kwa kitendo cha ubaguzi wa rangi baada ya mashabiki wake kumzomea Claud Adpajong wa klabu ya Sossulo na hivyo itawalazimu kucheza michezo yao miwili huku milango ya uwanja ikiwa imefungwa tena bila mashabiki. Mchezo wa […]

Ronaldo auza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2013 Ballon d’or

Ronaldo auza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2013 Ballon d’or

Clement Silla

October 6th, 2017

No comments

Nyota wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameuza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2013 (Ballon d’or). Ronaldo amesema dhamira yake ya kuuza tuzo hiyo ni kukamilisha hitaji la moyo wake ambalo ni kujitolea kusaidia watoto wenye magonjwa hatari. Tayari tuzo hiyo […]

Kombe la chalenji kuchezwa Desemba

Kombe la chalenji kuchezwa Desemba

Clement Silla

October 5th, 2017

No comments

Baraza la mashirikisho ya soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limethibisha kufanyika kwa mashindano ya Chalenji mwaka huu baada ya kushindwa kuchezwa mwaka jana. Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye amesema kuwa mashindano hayo yatafanyika Desemba, lakini nchi wenyeji bado hawajaamua. Amethibitisha pia mashindano ya […]

Mbio za kuwania kiatu cha dhahabu zapamba moto

Mbio za kuwania kiatu cha dhahabu zapamba moto

Clement Silla

September 28th, 2017

No comments

Huku wachezaji watatu wakiwa wamefunga mabao sita kwenye mechi 6, mbio za kushindania kiatu cha dhahabu zinaashiria kuwa msimu huu zitakuwa kali sana. Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, kijana mpya wa Chelsea Alvaro Morata na Romelu Lukaku wa Manchester United wako kileleni kwa ufungaji […]

Uhamisho wa wachezaji Ulaya

Uhamisho wa wachezaji Ulaya

Clement Silla

August 17th, 2017

No comments

West Brom wamemnunua kiungo wa kati wa zamani wa England Gareth Barry kutoka Everton kwa bei ambayo haijafichuliwa. Mchezaji huyo wa miaka 36 amecheza mechi 628 katika Ligi ya Premia katika misimu 21 akichezea Aston Villa, Manchester City na Everton. Barry sasa anahitaji kucheza mechi […]