Sports & Entertainment News

VIDEO : Klabu ya Everton ikifanya mazoezi ya mwisho tayari kuvaana leo na Gor Mahia Uwanja wa Taifa DSM

VIDEO : Klabu ya Everton ikifanya mazoezi ya mwisho tayari kuvaana leo na Gor Mahia Uwanja wa Taifa DSM

Clement Silla

July 13th, 2017

No comments

Timu ya Everton imefanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Mabingwa wa  michuano ya SportPesa Super Cup Gor Mahia, ikiwafunga mahasimu, AFC Leopards mabao 3-0, na kufanikiwa kupata nafasi hiyo ya kihistoria kucheza na Everton.

Historia fupi ya Shabiki Nguli wa Yanga “Ally Yanga” na ajali iliyopekelekea kupoteza maisha yake

Historia fupi ya Shabiki Nguli wa Yanga “Ally Yanga” na ajali iliyopekelekea kupoteza maisha yake

Clement Silla

June 21st, 2017

No comments

Mwanachama wa klabu ya Yanga na mpenzi maarufu wa soka nchini, Ally Mohamed anayejulikana zaidi kwa jina la utani Ally Yanga amefariki dunia jana baada ya ajali ya gari iliyotokea, eneo la Mpwapwa, Dodoma. Taarifa zinasema Ally Yanga alikuwa kwenye msafara wa Matangazo  kabla ya kupata ajali […]

FIFA yapendekeza dakika 60 za mechi

FIFA yapendekeza dakika 60 za mechi

Clement Silla

June 20th, 2017

No comments

Shirikisho la soka duniani (FIFA) lina mpango wa kupunguza muda wa mchezo wa mpira wa miguu kuwa dakika 30 kila kipindi. Bodi ya kimataifa ya soka duniani inatarajia kujadili pendekezo hilo linalolenga kuondoa upotezaji muda kwa makusudi, tabia inayofanywa wachezaji uwanjani. Pendekezo lingine ni wachezaji […]

Ndondi: Mayweather kuzichapa na Mcgregor mwezi Agosti

Ndondi: Mayweather kuzichapa na Mcgregor mwezi Agosti

Clement Silla

June 20th, 2017

No comments

Bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa, Floyd Mayweather atarejea tena ulingoni kupigana na mbabe Conor Mcgregor kwenye pambano la uzani wa kati litakalopigwa huko Las Vegas tarehe 26 mwezi August. Nyota hao wamethibitisha kuwepo kwa pambano hilo kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo Mayweather […]