Afrika

Kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Mwenyekiti wa wa Tume kukutana na Rais Uhuru Kenyatta

Kuelekea uchaguzi wa marudio Kenya, Mwenyekiti wa wa Tume kukutana na Rais Uhuru Kenyatta

Clement Silla

October 23rd, 2017

No comments

Ikiwa ni siku tatu kabla ya kufanyika uchaguzi nchini Kenya Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kemua Wafula Chebukati anatazamia kukutana na kwa mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta.

Lengo la mwenyekiti huyo kumkaribisha Rais Uhuru Kenyatta ni kutanga kuzungumzia uchaguzi na mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo.

Kumekuwa na hali ya sintofahamu kuhusiana na kufanyka uchaguzi huo wa marudio baada ya uchaguiz wa awali kufutwa ambapo hata hivyo uchaguzi huu muunganowa upinzani kupitia NASA ulitangaza kutoshiriki.

Comments are closed.