Sports & Entertainment News

Mbio za kuwania kiatu cha dhahabu zapamba moto

Mbio za kuwania kiatu cha dhahabu zapamba moto

Clement Silla

September 28th, 2017

No comments

Huku wachezaji watatu wakiwa wamefunga mabao sita kwenye mechi 6, mbio za kushindania kiatu cha dhahabu zinaashiria kuwa msimu huu zitakuwa kali sana.

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, kijana mpya wa Chelsea Alvaro Morata na Romelu Lukaku wa Manchester United wako kileleni kwa ufungaji wa mabao. Mshambuliaji wa Monaco Radamel Falcaoa, amefunga mabao 11 katika mechi saba za Ligue 1, huku Paulo Dybala, akiifunga Juventus mabao 10 kwenye mechi sita za Serie A.

Kwenye La Liga, Lionel Messi anaongoza kwa ufungaji kwa mabao tisa katika mechi sita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *