Sports & Entertainment News

Michuano ya Volleyball ya wanawake: Kenya, Cameroon zafuzu kushiriki kombe la dunia

Michuano ya Volleyball ya wanawake: Kenya, Cameroon zafuzu kushiriki kombe la dunia

Clement Silla

October 17th, 2017

No comments

Timu ya taifa za volleyball za wanawake za Kenya na Cameroon zimefuzu kushiriki fainali za kombe la dunia (FIVB) katika mashindano ya volleyball ya wanawake zitakazoandaliwa nchini Japan 2018.
Malkia Strikers ya Kenya imejizolea tiketi hiyo baada ya kuwafunga mahasimu wao Misri kwa seti 3-0 katika nusu fainali ya kipute hicho iliyoandaliwa Ijumaa jijini Yaounde, nchini Cameroon.

Wenyeji Cameroon walitwaa tiketi ya kushiriki fainali kwa kuangusha Senegal kwa seti 3-0.

CHANZO : CRI KISWAHILI

Comments are closed.