Sports & Entertainment News

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group Ltd Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group Ltd Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela

Clement Silla

November 11th, 2017

No comments

Hatimae Mfanyakazi wa Kampuni ya Afrika Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten na Redio Magic FM Dativas Mango, leo ameachana na maisha ya ukapela , baada ya kufunga pingu za maisha na bi Sweet Patricia Suleiman.

Dativas Mango ambaye pia ni Meneja wa Redio Magic Fm 92.9, amefunga pingu za maisha Kwenye Kanisa Katoliki la mashahidi wa Uganda Lililopo Magomeni Jijini Dar es salaam.

Ibada hiyo iliyofungwa majira ya saa tano asubuhi , ambapo Dativas Mango aliingia kanisani akizindikizwa na mama yake mzazi huku bi harusi Sweet Patricia Suleiman akiingia kwenye ibada hiyo ya ndoa akiwa amesindikizwa na kaka yake na mambo yalikuwa kama hivi.

Menejimenti ya Africa Media Group pamoja na wafanyakazi wa redio Magic 92.2 wanamkutakia Bwana na Bibi Dativas Mango maisha marefu ya ndoa yenye upando na amani.

Comments are closed.